Mwallu

Mwallu

Khantwe, nina wasiwasi neno 'photogenic' limekupiga mwereka. Hayo ya kufanana na baba umeyatoa wapi?

Mmmh hebu nifafanulie.....mi nimechukua hicho kipande cha God loves you
 
Last edited by a moderator:
Mmmh hebu nifafanulie.....mi nimechukua hicho kipande cha God loves you
Ndiyo Khantwe. Mungu alimpenda akampa sura nzuri.Kama una sura mbaya,Mungu pia aliipenda, ndo maana akakupa.
 
Last edited by a moderator:
Mwallu kisukuma inamaanisha 'Beautiful'

Natumai bwana mshana jr ulipoandika hiyo heading ulimaanisha hivyo. Kama ulimaanisha mwallu huyu wangu tafadhali..chondechonde...EPUKA SHOKA! Katamani mwingine maana imeandikwa, 'Usimtamani mke wa jirani yako...'

Hee!! yamekua hayo!!?
 
Last edited by a moderator:
All my attention ni kwa mwallu tu.

CC: Mentor

Dedication yangu kwa mshana jr

shoka.jpg
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Naamini wayapenda maisha ya amani....lol

Apia basi....wote hao?

Usafi kafanya nani?

Mwallu huyo mentor wako mkorofi kapitiliza ETI kanidedicate picha ya kibonde ya MCHEPUKO SIO DILI nitamfafuta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom