Mwalimu wa somo la Kifaransa anapatikana

Mwalimu wa somo la Kifaransa anapatikana

PROFESSEUR

New Member
Joined
Jul 13, 2014
Posts
2
Reaction score
2
Ninatafuta shule ya kufundisha somo la kifaransa...iwe ni English Medium iliyoko kati ya mikoa hii:-,Singida,Dodoma Manyara,Mbeya,Mwanza,Mara au Kagera.........If interested call +255 783 720 372.
 
Naona hujataja mkoa wa Dar maana shule ya Mwalimu J. K. Nyerere primary school wanatafuta walimu wa French
 
Back
Top Bottom