Mwalimu wa shule ya msingi abaka mtoto... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu wa shule ya msingi abaka mtoto...

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mwanakili90, Feb 17, 2012.

 1. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ni WAMIAKA 13,ATOA HONGO
  KIASI CHA LAKI MBILI ILI KESI
  ISIENDE MBELE

  Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya

  Mwalimu wa shule ya msingi Bwato wilaya ya Kyela mkoani mbeya Bwana Herny Hans Mwaikokoba anatuhumiwa kumbaka mwanafunzi wa darasa la saba wa shule hiyo, mwenye umri wa miaka 13.

  Tukio hilo likiwa ni la pili kwa mwalimu huyo kumtendea mtoto huyo, ambalo limethibitishwa na mtoto mwenyewe na shangazi yake aitwaye Bi Sabina Ndobo mkazi wa kijiji cha Bwato wilayani humo.

  Mara ya kwanza mnamo Oktoba mwaka uliopita, mwalimu huyo alimtendea tukio hilo la kumbaka mtoto huyo na kisha kumpa shilingi 200, ili anunue mihogo na tukio la pili alilifanya Novemba mwaka uliopita ambapo alimpa shilingi 500, baada ya mtoto huyo kupiga kelele na kijana aliyekuwa akikaanga mihogo Bwana Mwarabu alimuokoa mtoto huyo.

  Wakati mwalimu huyo akitenda kosa hilo alimtishia kumfukuza shule au kumuua mtoto huyo endapo atatoa siri hiyo. Uchunguzi uliofanywa na mtandao huu umebaini Mwenyekiti wa Bodi ya Shule hiyo ya msingi, Bwana Benjamin Mwailomo alipewa jukumu na walimu akabidhi shilingi 250,000 kwa mzazi ili suala hilo asilipeleke Polisi, lakini mwenyekiti huyo na bodi yake walitaka kumkabidhi mzazi shilingi 200,000 ambapo alizikana na kuwarudishia.

  Baada ya mzazi kugoma ndipo walimu hao walichukua jukumu la kumuita mzazi na kumkabidhi pesa hizo. Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Bwana Hussein Mwakifumbwa Anangisye amekanusha kutokea kwa tukio hilo, ingawa ametajwa na mtoto huyo mara kadhaa kuhusika katika vikao vya usuluhishi wa suala hilo.

  Kwa upande wake Afisa Mtendaji wa kijiji hicho Bwana Alfredy Kalapila (55) na Mwenyekiti wake Bwana Peter Bahesya Mwakisomola (40), wamesema watalifuatilia suala hilo na kulifikisha katika kikao cha bodi ya shule siku ya Ijumaa. Hata hivyo wazazi wa mtoto Bwana Kambona Petro Mwangomo amesema ameshawahi kumpeleka mtoto huyo katika zahanati kwaajili ya vipimo ambapo hakuweza kubainisha mara moja vipimo vilisemaje. Mtandao huu umebaini kuwepo kwa kiini macho cha tukio hilo la ubakaji ambapo mwenyekiti wa bodi ya shule Bwana Mwailomo kukiri mtoto huyo kutendea ubakaji na mtu mwingine aitwaye Natron Mwaisumo (50) ambaye amedai ametoroka kijijini hapo, kitu ambacho kimegunduliwa na mtandao huu kuficha uovu uliofanywana mwalimu ili hatua za kinidhamu na kisheria zisichukuliwe.

  Je? Asasi za zinazolinda haki za watoto ziko wapi?...

  Chanzo:mbeya yetu-atom
   
 2. S

  Shansila Senior Member

  #2
  Feb 17, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hebu tuwe tunabainisha mambo,huyo dogo anakuwa ameridhia kuliwa au analazimishwa?Maana inaoneshwa ameliwa na watu wawili kwa nyakati tofauti!Isijekuwa ni kicheche yeye halafu wakifumaniwa anapiga kelele ili ionekane anabakwa!
   
 3. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kina hii nimeisikia eti vidume flani vimempiga mtungo teacher wao. Huu uzi umo humu kweli?
   
 4. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Umo mkuu
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Huyo mwalimu anaumri gani ?
  Na binti anaumri gani ?

  Huyo binti hata angekubali kwa hiari yake
  Still si sawa kwa huyo mwalimu mtu mzima
  Kumtia mtoto. . He should know better ..
   
 6. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #6
  Feb 17, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mkuu sheria inasema kwamba mtoto hana ridhaa katika suala la kubanjuana. Isipokuwa ushawishi wa mtu mzima ndiyo unaweza kumfanya akaafiki kufanya hilo tendo. Huo ushawishi wa mtu mzima na uwezo wa mtoto kutokuwa na ridhaa ndiyo kunachangia mtu mzima aonekane amembaka mtoto. Cha kufanya ni kukaa mbali kabisa na hivi vitoto vya shule, vinginevyo kifungo cha miaka 30 kinakunyemelea.
   
 7. U

  Userne JF-Expert Member

  #7
  Feb 17, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 895
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu, hindi changa lina raha yake, hasa ukiweka vichumvi utakula na bunzii!
   
 8. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #8
  Feb 17, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  nyie jamani yasikieni kwenye vyombo vya habari sikatai kwamba watoto wapo wanaofanyiwa vibaya na walimu lakini kama unaweza na una nia ya kujua lipi kwa wale wakina kaka jifanye tu hata unajitolea kufundisha siku mbili tu hutakuwa umeshaipata muvi watoto wa kike wanavyojinasisha kwa walimu wa kiume nawapa pole kaka zangu walimu tieni moyo mgumu jifanyeni hamuoni lindeni heshima yenu wadogo zetu wa kike wanatuaibisha wa sekondari ni balaa siwasingizii
   
 9. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #9
  Feb 17, 2012
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Nadhani mmesikia kuwa kule Bagamoyo wanafunzi wamebaka mwalimu. Naona mwalimu wa Kyela ameamua kulipa kisasi kwa kubaka mwanafunzi.
   
 10. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #10
  Feb 17, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Huyo mbakaji alipaswa "kupumuliwa" naye!
   
 11. ha ha ha

  ha ha ha JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 641
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sidhani kama mwanafunzi wa kyela kabakwa! How come kafanyiwa mara ya kwanza kakaa kimya then mara ya pili kelele, uo utakuwa mgogoro wa maslahi.
   
 12. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  sijui ndo global warming, maana watoto wa siku izi wanakuwa mapema sana. miaka 13 unakuta ni limama hilo
   
 13. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #13
  Feb 19, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Asee nipo mangi
   
 14. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #14
  Feb 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwa s/msingi duuh.
   
Loading...