K Kakoo Member Joined Mar 22, 2011 Posts 16 Reaction score 0 Jul 17, 2013 #1 awe na cheti cha ualimu wa awali (early childhood education) aweze kuzungumza kiingereza kwa ufasaha awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja awe raia wa Tanzania awe mchapakazi, anayejituma na aliye tayari kuelekezwa kwa maelezo zaidi piga 0778350664 shule ipo Dar-es-salaam
awe na cheti cha ualimu wa awali (early childhood education) aweze kuzungumza kiingereza kwa ufasaha awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja awe raia wa Tanzania awe mchapakazi, anayejituma na aliye tayari kuelekezwa kwa maelezo zaidi piga 0778350664 shule ipo Dar-es-salaam
M Mwonambali Member Joined Sep 27, 2011 Posts 24 Reaction score 7 Jul 17, 2013 #2 Herry, wewe kama una form four "ya ufaulu" kwa nini hukuendelea na shule? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Herry, wewe kama una form four "ya ufaulu" kwa nini hukuendelea na shule? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums