mwalimu wa secondary anahitajika

mwalimu wa secondary anahitajika

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
12,529
Reaction score
13,502
Kama ni mwalimu, una muda na unapatikana maeneo ya Tabata niPM.

Nahitaji mwl wa tution kwa kijana wa form two kwa muda wa week mbili. Masomo ni maths, physics, geo, biology na chemistry.

Utahitajika kumfundishia mtoto nyumbani.

Shukrani
 
unataka mwali huyo mmoja ayafundishe hayo masomo peke yake?
 
haujielewi mzazi,mtoto sijui atakuwaje...hujui kama walimu wanaspecialize

Sema 'sielewi' sio sijielewi. Najielewa na ninaelewa nataka nini; jinsi ya kupata ndio sielewi vizuri.

Form two ni general knowledge ndio maana hata kijana wa form four anaweza muongoza mtoto wa form two ktk revision.

Nashukuru kwa mchango wako.
 
Mzaz kuwa makin
Walimu huwa tunasoma masomo mawili tu ya kufundishia kwa
masomo yote haiwezeka kufundisha
 
Sema 'sielewi' sio sijielewi. Najielewa na ninaelewa nataka nini; jinsi ya kupata ndio sielewi vizuri.

Form two ni general knowledge ndio maana hata kijana wa form four anaweza muongoza mtoto wa form two ktk revision.

Nashukuru kwa mchango wako.

we mzee sikiliza sio unadharau taaluma yetu mwalimu ana specialize katika somo au masomo fulani hayazidi mawili kama sayansi au sanaa au biashara sasa wewe umekoroga unataka mwlm wa somo la sayansi na art huyo huyo mmoja haiwezekani
 
Mpeleke mwanao kwenye tuition center ilypo karb kama mwanao anajielewa he\she can make it fine au ndan ya hyo week2 umuache apumzike na kufanya revission akiwa home
 
Sema 'sielewi' sio sijielewi. Najielewa na ninaelewa nataka nini; jinsi ya kupata ndio sielewi vizuri.

Form two ni general knowledge ndio maana hata kijana wa form four anaweza muongoza mtoto wa form two ktk revision.

Nashukuru kwa mchango wako.
kwa hiyo unataka kutudanganya kuwa huko mashuleni mwalimu yeyote anaweza kufundisha somo lolote ili mradi ni la form two!!
 
kama vipi nipm nije nimlishe matanga pori tu maana m bishi wewe watu na profesion zao wanakwambia unangangania afundishe hata na form four tu sasa form four anajua mizingi ya ualimu au unataka mimba za umri mdogo
 
Back
Top Bottom