Gwele
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 2,773
- 3,527
Anahitajika Mwalimu anayeweza kufundisha Physics na Mathematics O level na A level.
Mwombaji ni yeyote mwenye uwezo wa masomo tajwa hapo hata kama ni mhitimu wa Kidato cha 6
NB: Muombaji anatakiwa awe mkazi wa karibu na maeneo ya Bunju au Tegeta.
Mawasiliano: 0624463956