prince john john
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,081
- 3,109
Asante ndugu yanguKila lakher mkuu
Me mwalimu ndugu nafundisha syllabus yote ya computer science kuanzia ngazi ya primary school hadi diplomaComputer science umebobea ktk eneo gani?
Nimetoka kwenye mfumo huo ndugu.. nataka ni diverge kidogo niende kwenye mfumo rasmi ndugu yanguMkubwa ingependeza kama ungejipanga kutafuta vitendea kazi vya kufundisha na wanafunzi wako wakapata sehemu ya kukaa ukaweka matangazo ya tuition maana sasa hivi Tanzania naimani wanafunzi wa kidato cha nne wanajiandaa kufanya mtihani wengi wao na wakiwemo private candidates ungewapata hao ingekuwa safi sanaa unaweza kuwa naoo watanoo tuu au kumi ukawa unawafundiaha zile topics ambazo walimu wengi wa physics hawazifundishi eti kisa ni ngumu kama electromagnetism,wave,electronics n.k (kwa o.level) na kila topic unauwezo wa kupata elfu na kama upo vizuri hiyo topuc moja hata siku tano hazifiki kwa wanafunzi watano una elfu hamsinii topic mbili kwa wiki unakuwa na shilingi ngapi??
Nilishafanya hivyo kipindi nimemaliza form six nikawa sikosi hela na hata ya vitu vingine muhimu ni hayo tuu mkuu.
Maana sasa hivi kupata kazi hasa ualimu unauwezo wa kupata ila kabla ya kukaa mtaani muda mrefu jaribu hiyo na kama hasa ukiwa mkazi wa dar es salaam utapata watu.
Mapambano mema mkubwa.
oooh sawa kaka safi sana na hongera wewe ni mkazi wa dar es salaam?Nimetoka kwenye mfumo huo ndugu.. nataka ni diverge kidogo niende kwenye mfumo rasmi ndugu yangu
Ndiyo nduguoooh sawa kaka safi sana na hongera wewe ni mkazi wa dar es salaam?
Kakwambia yuko tayar kupiga kazi sehemu yeyote dunianKwa hiyo ukihitajika mkoani hauji? Ni Dsm tu?
Nitakuja ndugu yangu kata yoyote Ile hapa nchini ndugu..Kwa hiyo ukihitajika mkoani hauji? Ni Dsm tu?
ipataNitakuja ndugu yangu kata yoyote Ile hapa nchini ndugu..
Hapana ndugu sijapata badoul
ipata
Ni ukweli nilipata matatizo ya kifamilia na me ndiye mkubwa wa kiume nyumbani...Mkuu uliingia mitini, nilikutafutia shule! Vipi kompyuta yako uliyokua unaifatilia ishapona??
Asante ndugu watakuja usijari..Anahitajika dada wa kazi za ndani dar, Mwenye umri kuanzia 18-22, anayejitambua na mwaminifu. mazingira ni mazuri na yakuvutia
atutafute kwa namba 0717267636