Mwalimu wa Physics na Computer Science niko hapa

prince john john

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
2,077
3,094
Habari ndugu zangu
Kwa yeyote mwenye anayo nafasi au anajua nafasi ya kazi ya ualimu wa physics na computer science kwa o-level au Advance mwalimu napatikana.

Mimi ni mhitimu wa shahada ya uwalimu kwa masomo ya PHYSICS na COMPUTER SCIENCE na Kwasasa nipo dar es salaam.
na nipo tayari kufanya kazi popote hapa nchini. Hata kuanza kwa kujitolea Asanteni
 
Mkubwa ingependeza kama ungejipanga kutafuta vitendea kazi vya kufundisha na wanafunzi wako wakapata sehemu ya kukaa ukaweka matangazo ya tuition maana sasa hivi Tanzania naimani wanafunzi wa kidato cha nne wanajiandaa kufanya mtihani wengi wao na wakiwemo private candidates ungewapata hao ingekuwa safi sanaa unaweza kuwa naoo watanoo tuu au kumi ukawa unawafundiaha zile topics ambazo walimu wengi wa physics hawazifundishi eti kisa ni ngumu kama electromagnetism,wave,electronics n.k (kwa o.level) na kila topic unauwezo wa kupata elfu na kama upo vizuri hiyo topuc moja hata siku tano hazifiki kwa wanafunzi watano una elfu hamsinii topic mbili kwa wiki unakuwa na shilingi ngapi??
Nilishafanya hivyo kipindi nimemaliza form six nikawa sikosi hela na hata ya vitu vingine muhimu ni hayo tuu mkuu.
Maana sasa hivi kupata kazi hasa ualimu unauwezo wa kupata ila kabla ya kukaa mtaani muda mrefu jaribu hiyo na kama hasa ukiwa mkazi wa dar es salaam utapata watu.
Mapambano mema mkubwa.
 
Nimetoka kwenye mfumo huo ndugu.. nataka ni diverge kidogo niende kwenye mfumo rasmi ndugu yangu
 
Anahitajika dada wa kazi za ndani dar, Mwenye umri kuanzia 18-22, anayejitambua na mwaminifu. mazingira ni mazuri na yakuvutia

atutafute kwa namba 0717267636
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom