Mwalimu wa physics na basic mathematics anahitajika haraka

Mwalimu wa physics na basic mathematics anahitajika haraka

kajiti

Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
59
Reaction score
7
sifa
~awe na elimu
kuanzia kidato cha sita.
~ awe na uhakika wa
kukaa kwa mwaka mzima wa 2014.

jinsi ya kuomba
piga simu 0783967750
0754369461
 
Ingekuwa part time ya jioni, ningepasha ili kipaji kisife ila hesabu peke yake. Ila mambo ya kuandaa lesoni na mengineyo siwezi, mie niingie darasani nikate nyanga za kufa mtu. Nipige watoto mikwizi, kutunga mitihani na kusahihisha.

Hakika hata vilaza wanapata mia, hesabu ni mwalimu bora, si bora mwalimu. Na mtoto akiweza hili, hata mengine hujitahidi.
 
Asante,
Mimi naweza kufundisha basic mathematics na physics olevel,
Ila sina uhakika wa kukaa mwaka mzima 2014 kwa sababu kuna kazi nimeomba serikalini-wizara ya mifugo kuna kupata au kukosa.
Sasa unaweza kunifikiria kwa kigezo hicho nilicho eleza.
Mawasaliano: 0762 728832.
 
Asante,
Mimi naweza kufundisha basic mathematics na physics
Ila sijua hiyo shule iko wapi.Shariti langu ni kwamba nisibanwe sana niwe na muda angalau wa kufuatilia mambo yangu maana nasoma master's na niko on Research work,hivyo nipate na mimi kushugulikia shule yangu.hayo masomo hayana shida kwangu nayamudu .

Mawasaliano: 0764 490 809/0784 309 233.
 
nipo tayari nicheki kwa phone:0764512936,0655512936
au
Email me the location and salary scale to:mkwawagabriel@gmail.com
 
Asante,
Mimi naweza kufundisha basic mathematics na physics
Ila sijua hiyo shule iko wapi.Shariti langu ni kwamba nisibanwe sana niwe na muda angalau wa kufuatilia mambo yangu maana nasoma master's na niko on Research work,hivyo nipate na mimi kushugulikia shule yangu.hayo masomo hayana shida kwangu nayamudu .

Mawasaliano: 0764 490 809/0784 309 233.

mh utaweza mkuu, hawa jamaa wanabanaga salary sana, ndo maana wanatakaga form 6 leaver, we laki na nusu au lak mbili afu uwepo xkul asbh had jion, vipind fom one had 4, afu kila kidato kina mikondo kibao, bt siwez jua try it.
 
Ukweli nyanga hizo mobility nazigonga mno ila mashart ya lukas mwaka halaf tubanane n pia mbumba wanatoa fresh au ndo tgs ya kufa mtu.after MAMDOGO wenyewe matirio unazamisha Kwa nyundo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom