Mwalimu wa Physics & Mathematics( A level & O leve) natafuta kazi

gift jimmy

Member
Joined
Jan 6, 2015
Posts
8
Reaction score
0
Mimi ni mwalimu wa Mathematics na Physics , natafuta kazi ya kufundisha , mwenye uhitaji au anaejua wapi kuna uhitaji naomba tafadhali u isaidie...
 
Kama ni mwanaume tu, je unaweza kuja Mtwara?
 
Vip chemistry unaweza fundisha kuna shule ya kata(O'level) njombe,kama upo tayari nikunganishe na mkuu wa shule, kwa maelezo zaid nipigie 0764709147.
 
Mimi ni mwalimu wa Mathematics na Physics , natafuta kazi ya kufundisha , mwenye uhitaji au anaejua wapi kuna uhitaji naomba tafadhali u isaidie...
Kama unavyo vyeti vya ualimu na hujavusha umri miaka 40 nenda wizarani haraka sana. Tunawatafuta walimu wa masomo hayo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom