gift jimmy
Member
- Jan 6, 2015
- 8
- 0
Mimi ni mwalimu wa Mathematics na Physics , natafuta kazi ya kufundisha , mwenye uhitaji au anaejua wapi kuna uhitaji naomba tafadhali u isaidie...
Mimi ni mwalimu wa Mathematics na Physics , natafuta kazi ya kufundisha , mwenye uhitaji au anaejua wapi kuna uhitaji naomba tafadhali u isaidie...
Yaa naweza kaka
Kama unavyo vyeti vya ualimu na hujavusha umri miaka 40 nenda wizarani haraka sana. Tunawatafuta walimu wa masomo hayo.Mimi ni mwalimu wa Mathematics na Physics , natafuta kazi ya kufundisha , mwenye uhitaji au anaejua wapi kuna uhitaji naomba tafadhali u isaidie...