Mwalimu wa nutrition anapatikana hapa

Mwalimu wa nutrition anapatikana hapa

lucley

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2016
Posts
728
Reaction score
1,999
Heri ya sikukuu ya mwakampya na xmass wana jukwaa.
Kwa niaba yake nafikisha ombi lake la ajira humu jukwaani. Ni mhitimu wa chuo kikuu sokoine anatafuta kazi ya ualimu wa masomo ya nutrition kwa o level ,A level na hata diploma.

Hajasomea ualimu ila ana uzoefu wa kutosha na pia amepitia mafunzo ya ualimu katika semina na warsha mbali mbali. Kwa mwenye uhitaji nae anakaribishwa PM kwa mawasiliano zaidi.
 
Jiongezeni kwa kufundisha wananchi proper nutrition kwani kuna uelewa mdogo sana wa haya mambo.
All the best
 
Heri ya sikukuu ya mwakampya na xmass wana jukwaa.
Kwa niaba yake nafikisha ombi lake la ajira humu jukwaani. Ni mhitimu wa chuo kikuu sokoine anatafuta kazi ya ualimu wa masomo ya nutrition kwa o level ,A level na hata diploma.

Hajasomea ualimu ila ana uzoefu wa kutosha na pia amepitia mafunzo ya ualimu katika semina na warsha mbali mbali. Kwa mwenye uhitaji nae anakaribishwa PM kwa mawasiliano zaidi.

Hata mimi nimesoma SUA BSc. In Human Nutrition badae nikaenda UDSM nikasomea kozi ya ualimu yaani Postgraduate Diploma in Education, pia niko kwenye wakati wa kutafuta shule ya kufundisha somo hilo, ni mwalimu mwenye uzoefu, na mwenye sifa sitahiki. Ni pm please
 
Back
Top Bottom