Mwalimu wa nursery

okech

Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
9
Reaction score
0
Wapendwa wana jf natafuta mwalimu wa nursery na darasa la nne ambaye anakaa maeneo yombo vituka ili aweze kuwafundisha wanangu 2 muda ni kuanzi jioni (yasizidi masaa mawili ila pungufu inawekana) malipo ni 100,000/= kwa mwezi.

Kwa mawasiliano tumia box 70291 dar es salaam.

Asanteni
 
Ungeweka namba ya simu ndugu,hapo kwa sanduku la posta ni issue kubwa mkuu!kuna ndugu yangu anakaa Kitunda ss kwa nafasi hii inamfaa nadhan,sema ttzo umeweka boxi
 
Ungeweka namba ya simu ndugu,hapo kwa sanduku la posta ni issue kubwa mkuu!kuna ndugu yangu anakaa Kitunda ss kwa nafasi hii inamfaa nadhan,sema ttzo umeweka boxi

Asante sana sasa naomba namba yake mimi niwasiliane naye sasa hivi maana ukiwapa namba wapo watu wanaofanya mzaa ndugu yangu wakati ni swala la muhimu kwangu.

asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…