Mwalimu wa Nursery anahitajika haraka sana

Mwalimu wa Nursery anahitajika haraka sana

lelo2387

Member
Joined
Jan 16, 2015
Posts
33
Reaction score
2
Uongozi wa shule ya chekechea iliyopo kibaha mailimoja inahitaji mwalimu
SIFA
Awe wa jinsia ya kike
Umri miaka 21-30
Awe na cheti cha mafunzo ya nursery school kutoka katika chuo kinachotambulika
Awe na uzoefu wa kuanzia mwaka mmoja
Awe anaishi mkoa wa Dar es salaan au Pwani

MAWASILIANO PIGA NAMBA ZIFWATAZO
0754598946
0658 598946
WAHI HARAKA KABLA YA YAREHE 3/7/2015.
 
Back
Top Bottom