mwalimu wa mathematics na information technology

mwalimu wa mathematics na information technology

RJ45

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2014
Posts
340
Reaction score
119
mimi ni mwalimu wa masomo tajwa hapo juu. nimesoma bachelor degree of education with mathematics and information technology. pia ninaweza kufundisha physics kama kuna uhitaji. kwa shule, taasisi, tuition center, mtu binafsi (home tuition), au kituo chochote chenye uhitaji wa masomo hayo . napatikana dar es salaam lakini mkoani naweza kufika tukikubaliana.
mawasiliano PM
 
Sawa ,ila nyie walimu wa mathematics si ajira wazi wazi zimetangazwa,, au inakuaje tuma cv yako tamisemi
 
Sawa ,ila nyie walimu wa mathematics si ajira wazi wazi zimetangazwa,, au inakuaje tuma cv yako tamisemi
mkuu mimi nmemaliza mwaka huu na tangazo la tamisemi linawataka waliomaliza kuanzia mwaka jana
 
Back
Top Bottom