Mwalimu wa masomo ya Biashara anapatikana

dominho

Member
Dec 1, 2014
15
8
Salamu wakuu,
Mimi ni mwalimu wa masomo ya biashara(book-keeping or accountancy na commerce) natafuta kazi

Nimemaliza chuo kikuu cha Mzumbe bachelor of ed in commerce & accountancy.
GPA 4.2(upper second)
Nina uzoefu wa miaka 3 katika kazi
Nina uzoefu wa masomo ya biashara kwasabu nina msingi mzuri toka advance,nlisoma ECA
Nilikuwa nafundisha sehem sema mwajiri aliamua kupunguza wafanyakazi kwasababu rate ya wanafunzi walipungua coz of ELIMU Bure.

Nipo Mwanza
Tuwasiliane 0758403839
Regards.
 
Elimu Bure haijapunguza wanafunzi kwenye shule za Binafsi

-Sababu ya Ukweli inayoweza kukuondoa ni Kutofaulisha wanafunzi

-Hauna Maadili ya Kazi au Unatembea na Vijanafunzi Vyako
 
Elimu Bure haijapunguza wanafunzi kwenye shule za Binafsi

-Sababu ya Ukweli inayoweza kukuondoa ni Kutofaulisha wanafunzi

-Hauna Maadili ya Kazi au Unatembea na Vijanafunzi Vyako
Elimu bure ni sababu...pia hyo matokeo ya shule in general hayakuwa vizuri....hilo swala la kutembea na vijana sio kweli.
 
Elimu bure ni sababu...pia hyo matokeo ya shule in general hayakuwa vizuri....hilo swala la kutembea na vijana sio kweli.
Ada ilikua Tshs. 20,000/= Public schools (Boarding) kama Tabora Boys, Mzumbe ni Tsh 70,000/=

Mzazi gani au shule gani ya private iliyokua na ada ya 20,000 na 70,000 ili niamini kuwa wamekimbilia Public Schools.

Ni Kweli kuna Wazazi wamewatoa watoto wao shule za Private Kisa Serikali imefuta 20,000 Pesa ya Kununua Madaftari tuu?

Naamini Mwalimu Utakua na Logic pia Maswali haya waajiri wako watayatumia kama Interview yako.
 
Usikute wewe hauna hata biashara waalimu wa biashara Mma matatizo hata Mimi ma lecturer wangu walikua wa kawaida mtu ana miaka 60 bado anaishi Nyumba za Kota.
 
Back
Top Bottom