Mwalimu wa masomo ya Arts

Mwalimu wa masomo ya Arts

madiya85

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2013
Posts
282
Reaction score
65
Nafundishia nyumbani ukinihitaji kwaajili ya mwanao nicheki 0755914977 CIVICS,HISTORY,GEOGRAPHY,ENGLISH.
 
hahahaaa ndo mana wanafunzi wanafeli mana walim wanafundsha kwa uzoefu
 
Ndo shida ya watanzania, mnataka kuniambia watu wote waliosomea ualimu wanajua kufundsha? Nenden shule nyng za mission na bnafs muone je wanaofundsha wote na walimu by professional na je hzo shule znafanya vyema? Kenya graduate wote wanaruhusiwa kuomba ualimu hakuna ubaguz je wanafanya vzuri elimu yao? Sku hzi majtu yanakwenda ualmu,jeshi kupata kaz tu bt c kwamba wanaweza fundsha kuzd wale ambao hawakusoma ualmu, kngne course ya ualmu ina ktu gan kpya cha kumfanya asomae ajue kufundsha darasan na wanafunz wafaulu? Shule za kata wamejaa walmu prfsn mbona ndo znafanya vbaya sn. Achen ujnga,kama hakuna kaz achana na post yng.
 
Tofauti ipo kubwaa saana kati ya mtu aliesomea fani fulani na yule anaetumia uzoefu kama wewe!!
Kwanza ana knowledge panaa ya subject matter kuliko ww ulieshia form 6 alafu ukacheemka au unakuta mtu kasoma degree ya sheria alafu kakosa kazi anaanza kutaka kupiga chaki kisanii!!
Three years garduate wa Education huwezi mfananisha na form six leaver aliefeli au graduate ambaye hakusomea Education!!!
Tofauti ipp kubwaa mnoo!!
 
weka hzo tofauti hapa na pia ujbu maswali yng,shule za kata si mmejaa nyie prfsn mbona hamna ktu mnachokfanya,bahat nzuri nmewah fundsha shule za kata na kukaa meza moja na walmu prfsn nlpewa kufundsha geog.form 2 nlikuta mwl prfsn keshafundsha topic takriban 5,nlpofka wanafunz hawajui ktu mi nlianza mwanzo mpaka wanafanya mtihan somo langu waliongoza kufaulu,na wanafunz wakaandamana kwenda kwa mkuu wao wakdai wakfungua kdato cha 3 wasfundshwe na mwngn ila mimi means hawawatak walmu wao prfsn,shule za prvate na mission zmejaa watu wasio na prfsn ya ualmu lakn znafanya vzuri sana kuliko zlzo na watu kama nyie,nna marafk kbao nliograduate nao wao waksomea ualmu bt mpaka wanahtmu nlikuwa sion kikubwa knachoweza kuwasaidia wao waweze fundsha vzuri kuliko mimi nsyesomea ualmu, nmekupa mfano mwngn kenya graduate wote wanaruhusiwa kuwa walmu bila ubaguz mbona wanafanya vzuri, wewe unalete porojo za kuna tofauti ambazo huzsemi maana najua hazna mashko.
 
Wee endelea huko kuangaika na shule za private lakini serikalini haupati ng'oo. Ulikuwa ukisomea sociology ukitegemea nini?
 
Hahahaha mwambie huyo kijana naona anaongeaa saanaaa kujaribu kushawishi umma lakin amnaa kitu kujua au kutokujua maarifa ni akili ya mtu na uwezo wake binafsi ..huwezi fananisha professionalism na experience haaata siku moja kama ingewezekana basi tusingekula msoto chuo kikuu miaka mi3 ..tukawa tunakimbilia kupata uzoefu
We kama umepiga Law au Sociology na kwenu ndo mwenzangu na mie basi ujue imekula kwako!!alafu bora ungkua unafundisha science subjects sasa nani utamfumdisha Tuition ya civics?sjui Geograhy??History??daah??!!
Hahaha jipange endelea kusambaza bahasha Mungu atakusaidia kijana mwenzangu.....si mlikataa Education mkakomalia izo sociology....sasa imekula kwako eeh??!!pole.
 
watanzania ndo maana takwimu zlitoka tumo kwny kumi bora ya watu wenye IQ ndogo dunian we ultaka kila mtu asomee ualimu syo? Aliyekwambia kaomba serikaln n nani, pia mbona kuna watu weng sn wamesoma courz tofaut na ualmu na wameajiliwa kama walmu au hujui, pia nmesema kama huna kaz achana post yng we fanya yako,na ndo maana watu wanajchotea bil.of money badala tungane na kuteteana tuwe wamoja kupambana ghliba ya viongoz,mwenzenu anaulzia kaz anayoweza ifanya nje ya prfsn yake majtu mengne mnaleta upuuz upuuz,na ndo maana mpaka kesho walmu mnazalaulika sn maana mnaona mmemalza kupata kaz za mshahara wa lak 4 au 5 na maden ya benk na bayport ujnga ujnga tu.
 
Hahahaha mwambie huyo kijana naona anaongeaa saanaaa kujaribu kushawishi umma lakin amnaa kitu kujua au kutokujua maarifa ni akili ya mtu na uwezo wake binafsi ..huwezi fananisha professionalism na experience haaata siku moja kama ingewezekana basi tusingekula msoto chuo kikuu miaka mi3 ..tukawa tunakimbilia kupata uzoefu
We kama umepiga Law au Sociology na kwenu ndo mwenzangu na mie basi ujue imekula kwako!!alafu bora ungkua unafundisha science subjects sasa nani utamfumdisha Tuition ya civics?sjui Geograhy??History??daah??!!
Hahaha jipange endelea kusambaza bahasha Mungu atakusaidia kijana mwenzangu.....si mlikataa Education mkakomalia izo sociology....sasa imekula kwako eeh??!!pole.

kweli we jnga, hayo masomo unayadharau sn ndugu je shulen kwako una C ngapi tuachane na A au B za hstr na geg,civ badala ya kuwashauri wadogo zetu wajtambue kwamba hakuna somo jepes yote yana ugumu wake lazma wasome masomo yote kwa uwiano sawa mnaishia kuwashauri wakomae na sayans wakat masomo mengne yanabak hayana msukumo, au nkulze ww ulpata A ya hst au geo,civ,eng,ksw kama hukupata n kwann? Na ulpokomaa na sayans ulpata C zote au ndo dvsn 5 za D nayo eti n credt. KUBWA JNGA WEWE.
 
We tulia kitaa kikufundishe adabu, ndo uitambue Tanzania kuwa kusoma sio kupata. I very sorry kwakweli.
 
szan kama kchwa chako kiko sawasawa hvi kwa akil yako inavyokutuma unadhan mi nasota? Kutafuta kaz au c kila atafutae kaz anasota ktaa mjnga ww nna familia mke na mtoto na smtegemei mtu nna biashara mbili moja n studio ya vdeo shtng na photoprntng per day skos elf 40, biashara nyngn n ya nafaka ambayo wife ndo anaendesha, now nataka kaz tena ili npate hela nje ya biashara ili nianze ujenz,tumbili ww ntafute kama upo dsm ukaribie kwangu na kwny biashara zangu.
 
Msilolijua n zaid ya usku wa gza, ambae yuko dsm tutembeleane tuone kama kwel mi sna mbele wala nyuma, kngne nachokhtaj syo hayo maneno yenu ya kwny kanga za india nashangaa mnaongea sn au mnaumia sn kuona mtu anafanyakaz zenu syo? Kama hamna wivu nyie mnataka nn hasa maana naona mnaleta maneno ya kike kike au nyie n kna dada? Kama wanaume bas soon mtaolewa kabsa.
 
szan kama kchwa chako kiko sawasawa hvi kwa akil yako inavyokutuma unadhan mi nasota? Kutafuta kaz au c kila atafutae kaz anasota ktaa mjnga ww nna familia mke na mtoto na smtegemei mtu nna biashara mbili moja n studio ya vdeo shtng na photoprntng per day skos elf 40, biashara nyngn n ya nafaka ambayo wife ndo anaendesha, now nataka kaz tena ili npate hela nje ya biashara ili nianze ujenz,tumbili ww ntafute kama upo dsm ukaribie kwangu na kwny biashara zangu.

Mkuu nashukuru sana kwa hayo matusi, hii inadhihirisha ulivyo na hasira na hii serikali yetu ndo maana una hasira sana. Hongera pia kwa kufanikiwa kuwa na vyanzo vya kufanya biashara maana wenzako wanalia sana na kitaa.
 
Kaka mbona umekua mpole ghafla? au kwa kutishiwa photostudio, maduka ya nafaka na 40 kwa siku?

anyway haikuwa na haja ya kuweka mabishano yote ayo , out of topic...

Jf ya siku izi ukisoma topic na yatakayoendelea ad mwisho ni vitu viwil tofaut kabisa, znazalishwa subtopic za mipasho kwa wing..

jamaa alipaswa kushauriwa na sio kumpa kejel na manenos ya kukatishana tamaa.

majukwaa yapo yanayohusika na mipasho nadhan ndo sehemu husika.
 
Kwani wewe ulitaka nimtusi kama yeye alivyonitusi eti? Kumbuka yeye ndo alianza kutudhihaki sisi tuliosomea ualimu kwamba tunazidiwa na wao ambao hawajasomea ualimu. Ndo tukamtahadharisha kwamba hata afanyeje hataajiriwa serikalini kama mwalimu hata kama anafaulisha.
 
kweli we jnga, hayo masomo unayadharau sn ndugu je shulen kwako una C ngapi tuachane na A au B za hstr na geg,civ badala ya kuwashauri wadogo zetu wajtambue kwamba hakuna somo jepes yote yana ugumu wake lazma wasome masomo yote kwa uwiano sawa mnaishia kuwashauri wakomae na sayans wakat masomo mengne yanabak hayana msukumo, au nkulze ww ulpata A ya hst au geo,civ,eng,ksw kama hukupata n kwann? Na ulpokomaa na sayans ulpata C zote au ndo dvsn 5 za D nayo eti n credt. KUBWA JNGA WEWE.

Haikua na haja ya kutoa matus mkuu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom