Mwalimu wa literature natafuta ajira ya kufundisha mwezi wa saba

Edc Tz

Member
Apr 20, 2018
60
38
Habari,

Natafuta nafasi ya kufundisha nahitimu mwezi wa saba Bachelor of education in special needs chuo UDOM, somo la kufundishia Literature.

Kama unaweza kunisaidia kupata nafasi hiyo ni pm au nipe contacts zako nikucheki.
 
Habari natafuta nafasi ya kufundisha nahitimu mwez wa saba Bachelor of education in special needs chuo UDOM, somo la kufundishia Literature. Kama unaweza kunisaidia kupata nafasi hiyo ni pm au nipe contacts zako nikucheki.
 
Kaka jiandae Na mazingira mtaani pagumu!

Weka akiba ukija uanze kuuza nyanya au hata mitumba!.

Utakapo pata temple utambulia 200K
 
Habari natafuta nafasi ya kufundisha nahitimu mwez wa saba Bachelor of education in special needs chuo UDOM, somo la kufundishia Literature. Kama unaweza kunisaidia kupata nafasi hiyo ni pm au nipe contacts zako nikucheki.
Duh karbu mtaan
 
Back
Top Bottom