Mwalimu wa Kupamba/ Decorate Keki

Mwalimu wa Kupamba/ Decorate Keki

Tebajanga

Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
75
Reaction score
108
Habari wakuu,

Natafuta mwalimu wa kike anayejua kufundisha kupamba keki kwa Dar es Salaam.

Unaweza ukajibu uzi huu au kunitumia meseji.
 
Back
Top Bottom