Mwalimu wa Kilimo toka SUA anahitajika

Mwalimu wa Kilimo toka SUA anahitajika

Njiwa wangu

Senior Member
Joined
Dec 5, 2020
Posts
146
Reaction score
289
Nafasi ya mwalimu wa kilimo kutoka SUA anahitajika.

Shule ipo Mkoa wa Mara wilaya ya Tarime Vijijini na iko mpakani kabisa mwa Kenya na Tanzania shule ni ya sekondari ni bweni na kutwa pia ni kituo cha kulelea watoto yatima na shule ya msingi ipo ndani ya eneo hilo.

Makazi yapo kama mwalimu mwenye sifa karibu sana.

Degree ya KILIMO toka SUA.

whasap namba only 0620307124
 
Mkuu naweza pata chance ya kufundisha History na English hapo?
 
Subiri wapo wanakuja Mkuu ila pia unaeza chukua mtu aliesoma Agribusiness Apo SUA nazani atakuwa msaad Tena Multiple corse anaweza fundish masom ya Business na Agriculture pia.
 
Nafasi ya mwalimu wa kilimo kutoka SUA anahitajika.

Shule ipo Mkoa wa Mara wilaya ya Tarime Vijijini na iko mpakani kabisa mwa Kenya na Tanzania shule ni ya sekondari ni bweni na kutwa pia ni kituo cha kulelea watoto yatima na shule ya msingi ipo ndani ya eneo hilo.

Makazi yapo kama mwalimu mwenye sifa karibu sana.

Degree ya KILIMO toka SUA.

whasap namba only 0620307124
Kwanini ni lazima SUA, kama je mtu amesoma chuo kingine mfano nje ya nchi?
 
B.Sc with education, in agriculture and biology (EAB)

Wanangu wamemaliza hii course, nafasi bado zipo?
 
Vp kwa mtu aliyesoma CBA( CHEM, BIOS, AGRICULTURE) Advance ila kasoma kozi nyingine hapo hapo SUA je ana nafasi nikupeni kijana fasta sana hapo??
 
Back
Top Bottom