mwalimu wa kiitaliano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mwalimu wa kiitaliano

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Iyokopokomayoko, Dec 18, 2011.

 1. Iyokopokomayoko

  Iyokopokomayoko JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,808
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  habari jf,

  kuna rafiki yangu mmoja ni mzungumzaji na mwandikaji mzuri sana wa lugha ya kiitaliano, anatafuta chuo cha ngazi mpaka ya diploma afundishe kiitaliano. Ikiwa kuna chuo kinahitaji mwalimu wa kiitaliano ni-PM
   
Loading...