MWALIMU WA KEMIA NA BIOLOGIA

MWALIMU WA KEMIA NA BIOLOGIA

Gwamanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2021
Posts
247
Reaction score
472
Mimi ni mhitimu wa shahada ya ualimu kwa masomo ya kemia na biologia mwaka 2020, nipo Urambo- Tabora, Naomba kwa yoyote mwenye Taarifa au uwezo nahitaji shule ya kufundisha sekondari au msingi shule iwe angalau mikoa jirani ili iwe rahisi kwangu kufika kwa usahili, kwa mikoa ya mbali tunaweza wasiliana na mhusika tukapanga suruhisho... Naombeni kuwasilisha.🙏
 
Mungu atakusaidia utapata.jaribu kusambaza barua shule za private pia jitolee shule za goverment.
 
Back
Top Bottom