Mwalimu wa History na Civics Anahitajika

hivyo tu? na wewe kama ni mwalimu unadhalilisha taaluma!!
-anatakiwa awe na sifa gani?
-kufundisha darasa la ngapi?
-kazi iko wapi?
-mkataba ukoje?
-malipo?
-benefits zingine?
 
hivyo tu? na wewe kama ni mwalimu unadhalilisha taaluma!!
-anatakiwa awe na sifa gani?
-kufundisha darasa la ngapi?
-kazi iko wapi?
-mkataba ukoje?
-malipo?
-benefits zingine?

Ndio maana akatoa namba kwa aliye tayari wasiliane naye kwa TAARIFA ZAIDI, sasa kakosea nini hapo?
 
atleast angesema anahitajika Mkoa gani sasa anatoa namba ili apigiwe na hata walimu wa sumbawanga,kigoma,lindi ,mara n.k
 
Anahitajika mkoa gani angalau elezea awe na sifa ipi kidogo, au shule ya kihuni huni
 
Vijana mnapenda urahisi. Chukua hatua mpigie. Yani katangaza fursa, ni jukumu lako kuchukua hatua hili upate taarifa.
 
yaani uweze kuingia jf.. lakini ushindwe kupiga iyo namba!
 
Ndio maana akatoa namba kwa aliye tayari wasiliane naye kwa TAARIFA ZAIDI, sasa kakosea nini hapo?



Mkuu si kila mtu anapenda kufanya private communications hovyo...

yeye alipaswa aweke kila kitu ili mtu apime upepo mwenyewe kuweka tu SIMU inaweza kuwa ni utapeli
 
hivyo tu? na wewe kama ni mwalimu unadhalilisha taaluma!!
-anatakiwa awe na sifa gani?
-kufundisha darasa la ngapi?
-kazi iko wapi?
-mkataba ukoje?
-malipo?
-benefits zingine?


Mkuu wangu hawa watu hawajui communication skills
 
Mkuu si kila mtu anapenda kufanya private communications hovyo...

yeye alipaswa aweke kila kitu ili mtu apime upepo mwenyewe kuweka tu SIMU inaweza kuwa ni utapeli

Wenye shida wameshampigia kitaambo, you just relax pastor.
 
Wenye shida wameshampigia kitaambo, you just relax pastor.


Ha ha ha

Mkuu wangu Baba V
mi nimetoa ushauri tu kwamba unapotoa tangazo jaribu kutoa full details hebu fikiria watu 200 wakupigie kuuliza hivi itakuwaje hapo?

Tujifunze stadi za mawasiliano mwalimu wangu.
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Vijana mnapenda urahisi. Chukua hatua mpigie. Yani katangaza fursa, ni jukumu lako kuchukua hatua hili upate taarifa.

Hahahaa, WALIMU WA SIKU HIZI KAMA NDIYO MAONO YENU HAYA BASI HATUNA WALIMU ASEE, kama hata kujieleza kidogo tu ni utata vipi kusimama darasani!!?
 
Hahahaa, WALIMU WA SIKU HIZI KAMA NDIYO MAONO YENU HAYA BASI HATUNA WALIMU ASEE, kama hata kujieleza kidogo tu ni utata vipi kusimama darasani!!?

kwahyo wew na kujua kwako koooote unafikir ameshindwa kuandika sifa anazozitaka? Usigeneralize vitu fanya analysis usitukane watu wako walimu wanao uwezo mkubwa kiakili kuliko wew kaka lakin anatoka kwenye walimu haohao wa siku hizi. Alafu mwenzenu kaweka vile ana malengo yake si bure.
 

Niwie radhi mkuu kama nimekugusa pabaya, lakini kusema kweli walimu wanavyojiweka inatufanya tuwaone kuwa uwezo wao wa kufikiria ni mdogo tofauti na walimu wa enzi za mwalimu, hilo sidhani kama ni la kubishana saana! Ana malengo gani, anataka kutapeli watu? Huwezi kusema tu kuwa nataka "mwalimu"...cmon, kuna walimu makumi elfu wako mtaani, do you want each one of them to call you?!!..ni usumbufu hata kwako pia, kwa nini usifupishe mambo na kusema "nataka mwalimu wa kiswahili primary school"..simple! Wenzetu walishaturahisishia hapa, haubanwi na idadi ya maneno unayopaswa kuandika, wewe tiririsha details hapa.
Narudia tena, nisamehe mkuu kama nimekugusa pabaya.
 
Hv wadau mmesahau ule wimbo wa ali choki, mjin mipingo kuna mtu atatepeliwa hapa, shida ya kazi isiwafanye mkatapeliwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…