Mwalimu wa historia...........

Mwalimu wa historia...........

KUNGURUHAFUGIKI

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
346
Reaction score
74
Mwalimu wa historia alikuwa darasani na kuwauliza wanafunzi
MWALIMU; Eeeeehe!
Ni nani alimuua chifu mkwawa?
MWANAFUNZI; Aku sio mimi!
MWANAFUNZI 2; wallah! Sihusiki!
MWANAFUNZI3; kwanza mimi sikuja shule!
Mwalimu akabaki kushangaa!
 
Mwalimu nae akatoka darasani na kwenda kumweleza Mwl mkuu. Ikabidi warudi wote darasani. Nae(mwl mkuu) alipowauliza, majibu yalikuwa yale yale. Ikabidi amwite mwalimu wa somo nje na kumuuliza kimya kimya eti "unauhakika aliyemuua huyo Mkwawa yupo darasa hili hili?" sjui kilichoendelea.
 
Ha ha duh, hii kali na mwl mkuu nae kilaza
 
Ndio walimu wa siku hizi tz na wanafunzi wao wote ma mbulula kizazi cha empty headed
:israel::israel:
 
Nimeamini hoja ya Mbatia, hakujawahi kuwa na mtaala wa elimu toka mwaka 1961. Kwa hiyo wengi wetu tumesoma kwa walimu wetu kukisia kipi kinafaa na kipi hakifai
 
Nawashangaaa sana watz wanaosubiri mh waziri aubebe mtaala aupeleke bungeni...hii inaonesha hawafahamu maana ya mtaala ila kilichopo ni kudandia hoja tuu jaribu kuuliza nini maana ya mtaala kabla ya kukoment chochote....no risech no right to spik
 
Mtaala ni jumla ya mambo yote yanayofanywa na mwl na mwanafunz nje na ndani ya darasa sasa ukisubiri wazir akabebe mambo yote anayotakiwa kuyafanya mwl na mwanafunz ndani na nje ya darasa utakaa sana
 
Back
Top Bottom