Mwalimu wa degree natafuta shule ya private

Mwalimu wa degree natafuta shule ya private

liomaps

Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
61
Reaction score
10
Nimwalimu wa geography,a level,experience ni miaka mitatu.natafula shule nikafanye kazi hyo ya kufundisha.
 
Na thread ikaishia hapo? wakupateje sasa watakaokuhitaji??

Najua utasingizia pm, lakini kumbuka kuna wengine hawana time na PM hata kidogo...

Safari njema..
 
Hongera, kwa nini usijiajiri mwenyewe kwa kuanzisha shule yako mwenyewe?, anza na tuition mkuru!!.:A S-eek:
 
Uandishi sio wa ki-ualimu, tena mwenye 3 years of experience. Digitali shida sana.
 
Nimwalimu tena mzuri,isipokuwa sio mwana siasa dats y tangazo halina mbwembwe mkuu.au hizo speling nilizo kosea?
 
Back
Top Bottom