Mwalimu wa Commrce na Book keeping

Mwalimu wa Commrce na Book keeping

Mikongeni

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
32
Reaction score
4
Je unaishi maeneo ya Kibaha Kwa Matias? Unaweza kufundisha masomo ya Commerce na Book keeping? Kama jibu ni ndiyo na unapenda kufanya kazi part time, tuandikie na kututumia cv yako na barua ya maombi kwenye email hizi: resbijura@yahoo.com au bijuraa@gmail.com. Mwisho kupokea maombi ni tarehe 30 Dec 2017. Karibuni.
 
mimi niko viko vizur kwa geography na history niko pugu dar
 
Back
Top Bottom