Mwalimu wa Chemistry na Biology

Mwalimu wa Chemistry na Biology

Joined
Mar 30, 2017
Posts
11
Reaction score
9
Habarini Wanajamvi.
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25. Nina Shahada ya awali(Bachelor's Degree) ya Sayansi na Elimu katika masomo ya Kemia na Baiolojia.
Ninatafuta kazi ya ualimu wa masomo tajwa hapo juu katika Shule za sekondari,Shule za msingi za mchepuo wa kiingereza na Vyuo vya kati.Yeyote atakayeguswa na uzi huu na kuwiwa kunisaidia asisite kuwasiliana nami kupitia PM.
Ninatanguliza shukrani.
 
Hello mambo vp ndugu ushafanikiwa kupata kazi ?
 
Habarini Wanajamvi.
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25. Nina Shahada ya awali(Bachelor's Degree) ya Sayansi na Elimu katika masomo ya Kemia na Baiolojia.
Ninatafuta kazi ya ualimu wa masomo tajwa hapo juu katika Shule za sekondari,Shule za msingi za mchepuo wa kiingereza na Vyuo vya kati.Yeyote atakayeguswa na uzi huu na kuwiwa kunisaidia asisite kuwasiliana nami kupitia PM.
Ninatanguliza shukrani.
Ni pm mkuu kama bado hujapata kuna moja nimeiona kwenye group
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom