Mwalimu wa Bible Knowledge anatafuta kazi

MUTUYAMUNGU

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
1,824
Reaction score
4,385
Amesomea Theology.

Anaweza kufundisha:
O level (Bible Knowledge)
A level (Divinity)

Vyuo vya Biblia na Taasisi mbalimbali za kidini.

Anapatikana Dar ila mkoa wowote anaweza kwenda.

Mawasiliano inbox/PM nikupe namba zake.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Jamaniii,kweli watu wanapishana na pesa. Hakuna mtaji mkubwa kwa Sasa kama Bible ikiijua,kamuulizie mwamposa......Mimi nzur wa marketing,mwambie anicheck ndugu yangu.....tuanzishe kanisa, tena kanisa letu picha linaanza liakuwa linatoa mikopo....,na
 
Ha ha ha mkuu umenichekesha sio rahisi kihivyo. Jamaa anapenda ualimu tu.

Back
Top Bottom