Wapo wenye vyeti pia lakini hawajui kufundisha , akiingia darasani mitoto haimuelew na cheti chake, kufundisha pia ni kipaji c mavyetiUalimu sio kujua kufundisha Mkuu, huu in ubabaishaji. Unacheti cha ualimu mpaka ujiite Mwalimu? Hivi kwanini taaluma ya ualimu Imekua ya kujinasibisha na kila MTU anayeshindwa masomo, is dhani kama itanifaa min kujiita hakimu kisa tu mimi in mwongeaji, lakini pole mkuu, pambana na hali yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unamaanisha hakuna haja kusomea ualimu kuajiri wawe wanaangalia vipaji tu?Wapo wenye vyeti pia lakini hawajui kufundisha , akiingia darasani mitoto haimuelew na cheti chake, kufundisha pia ni kipaji c mavyeti
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha kudiscourage mwenzio cheti nimoja yapo ya vigenzo vya kua mualimu lakini sio conclusively tumeona wa gapi wenye first class degree but delivery sufuriUalimu sio kujua kufundisha Mkuu, huu in ubabaishaji. Unacheti cha ualimu mpaka ujiite Mwalimu? Hivi kwanini taaluma ya ualimu Imekua ya kujinasibisha na kila MTU anayeshindwa masomo, is dhani kama itanifaa min kujiita hakimu kisa tu mimi in mwongeaji, lakini pole mkuu, pambana na hali yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole kama umeumia ila kiukweli Hata MIE nimefundishwa na kijana mmoja aliyenitangulia miaka miwili.darasani nilienda kuzuga tu namchora mwalimu.anafundisha huku nishafanya maswali karibu vitabu kadhaa.namshukuru huyo jamaa saivi ni Engineer zonal electrical inspector .namie nimefuata nyayo zake.tunajua wapo wanaenda ualimu mana matokeo yamewalazimisha kwenda huko.ila moyo hawana kabisa na maisha yanawalazimisha jamani ndo ukweli huu.Hata kuna MTU anaenda kusoma udaktari kisa kafaulu ila moyo hapo huko kabisa.yeye unapenda KITU kingineUalimu sio kujua kufundisha Mkuu, huu in ubabaishaji. Unacheti cha ualimu mpaka ujiite Mwalimu? Hivi kwanini taaluma ya ualimu Imekua ya kujinasibisha na kila MTU anayeshindwa masomo, is dhani kama itanifaa min kujiita hakimu kisa tu mimi in mwongeaji, lakini pole mkuu, pambana na hali yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni kipaji jasomee ili update vigezo, kama ikiwa u pastor na upadre watu wanasomea ije kuwa ualimu? Unaleta habari za kipaj!!Wapo wenye vyeti pia lakini hawajui kufundisha , akiingia darasani mitoto haimuelew na cheti chake, kufundisha pia ni kipaji c mavyeti
Sent using Jamii Forums mobile app
Ualimu sio kujua kufundisha Mkuu, huu in ubabaishaji. Unacheti cha ualimu mpaka ujiite Mwalimu? Hivi kwanini taaluma ya ualimu Imekua ya kujinasibisha na kila MTU anayeshindwa masomo, is dhani kama itanifaa min kujiita hakimu kisa tu mimi in mwongeaji, lakini pole mkuu, pambana na hali yako
Neelewa hilo sana,,, Katika hii dunia kila mtu anafani yake alooangiwa na Mungu,, Tangu niko la form mpka leo nilishaona Fani yangu ni Ualimu ndo mana matokeo yangu ya form six ni tofaut sana na weng wanavyochukulia Ualimu ni sehem pa kwenda ukiwa una maks ndogo.. Hata nilipofanyiwa intaviu kwenye hii tution nilieza wapiku watu wenye vyetu vyao nikaioata hyo nafasi ambayo naeza sema imeeza nisaidia had nikamaliza mwaka salama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unamaanisha hakuna haja kusomea ualimu kuajiri wawe wanaangalia vipaji tu?
Kusomea kuna umuhim, sema ujue kuna watu wengine wapo kwa ajili ya kukatisha tamaa watu, ndio mana hilo jamaa nimelijib hivyo liache kukaririKwa hiyo unamaanisha hakuna haja kusomea ualimu kuajiri wawe wanaangalia vipaji tu?
Nimewaelewa wazee.Haja ipo ndo mana nilichagua soma Ualimu sema jambo la ada ni tatizo na nachotafuta mm ni ajira ya miaka hata miwili ili nitud chuo ni malizie kusoma,,
Pia shule yingi za praivert naelewa walimu wengi wa Advanced Mathematics na Physics ni watu tofuat na chet cha ualimu kwan weng wa wanafauli hayo masomo vizuri hawaiingia ualimu but nina A kabisa ya Advanced Maths ila nimefata ninachokiona myoni mwangu
Kusomea kuna umuhim, sema ujue kuna watu wengine wapo kwa ajili ya kukatisha tamaa watu, ndio mana hilo jamaa nimelijib hivyo liache kukariri
Sent using Jamii Forums mobile app
LETE CONTACTKwema wana JF .
Mi ni mwanfunzi wa Udsm ualimu wa Mathematics na Physics,
Nilichaguliwa mwaka Jana na bahati mbaya sikufanikiwa pata mkopo mana O lever nili risit mtian hivyo bodi ya mikopo ikatutoa kabisa kwenye mchakato wa kutupa mkopo.
Nafika mbele zenu kuomba Ushauri na maelekezi yatakayo nisaidia pata Shule ya kufundisha hasa private mana nina uwezo mkubwa wa kufundisha Advance mathematics kwan Ualimu ni fani yangu Na somo hilo Advanc nilipata A yake,
pia nafundisha tution moja hapa Dar maarufu kwahyo nina uzoefu wa kutosha...
Nipo tayari ku stop chuo kwa Muda kwan swal la ada lina nisumbua na matumizi yangu
Nani kakwambia ualimu ni chetiUalimu sio kujua kufundisha Mkuu, huu in ubabaishaji. Unacheti cha ualimu mpaka ujiite Mwalimu? Hivi kwanini taaluma ya ualimu Imekua ya kujinasibisha na kila MTU anayeshindwa masomo, is dhani kama itanifaa min kujiita hakimu kisa tu mimi in mwongeaji, lakini pole mkuu, pambana na hali yako
Sent using Jamii Forums mobile app
NAOMBA NITAFUTE KWA NAMBA 0712291746Kwema wana JF .
Mi ni mwanfunzi wa Udsm ualimu wa Mathematics na Physics,
Nilichaguliwa mwaka Jana na bahati mbaya sikufanikiwa pata mkopo mana O lever nili risit mtian hivyo bodi ya mikopo ikatutoa kabisa kwenye mchakato wa kutupa mkopo.
Nafika mbele zenu kuomba Ushauri na maelekezi yatakayo nisaidia pata Shule ya kufundisha hasa private mana nina uwezo mkubwa wa kufundisha Advance mathematics kwan Ualimu ni fani yangu Na somo hilo Advanc nilipata A yake,
pia nafundisha tution moja hapa Dar maarufu kwahyo nina uzoefu wa kutosha...
Nipo tayari ku stop chuo kwa Muda kwan swal la ada lina nisumbua na matumizi yangu