Just curious...hivi walimu wana zamu za usiku? wanaenda kazini week end? na siku za sikukuu/holidays je? Hivi walimu wanajiweka katika risk yeyote ya magonjwa kutokana na kazi yao? TB, HIV, bacterial/fungal nfections? Hivi walimu wanathirika kisaikolojia kutokana na kuona watu wakiwa katika hali mbali mbali...maiti, ajali, moto, madonda makubwa yanukayo, wagonjwa taabani, kufiwa mikononi na wagonjwa? Hivi walimu wanadeki matapishi, mavi, damu, usaha n.k za waginjwa mawodini?
Kweli kuna uhalali wa kuwapa mshahara sawa hawa watu wawili sababu tu wote wana level sawa ya certificate au diploma au degree?