Mwalimu Nyerere UN kudai Uhuru, Wakili Mwambukusi HC Mbeya Kudai Territorial Sovereignty Ya Tanzani. Nini Utabiri wako Hukumu ya Kesho 7th August.23

busar

JF-Expert Member
Dec 22, 2011
1,068
1,061
Asalam.

Mwalimu JKN alisafiri kwenda UN kudai Uhuru. Akaupata. Wakili Mwambukusi na Wengine High Court Mbeya kudai Territorial Sovereignty Ya Tanzania. Mwambukusi anadai kitu muhimu katika maslahi ya Taifa na Dola yetu, ULINZI WA MIPAKA na UHURU WA MAAMUZI YETU. Je tutafanikiwa ? Nini utabiri wako
 
c&p

1. In Tanzania Judicial independence is not absolute, meaning other state organs still interfere with the Judiciary Organ, translating that separation of power is not absolute. For instance the legislature is still the only organ which makes, amends and delegates power to the other organs including judiciary to make laws.

2. The president has been given power to appoint the Chief Justice and other justices of the Court of Appeal after the consultation with the Chief Justice .

3. Lastly the director of Public Prosecution is appointed by the president, who plays great role in criminal cases.

MY TAKE:KESHO HAMNA KITU NI USANII. HAKUNA JUDGE MWENYE COURAGE/GUTS YA KUTENDA HAKI..SHYSTER JUDGES AS OPPOSED TO BOLD JUDGES...............keep this comment for tomorrow
 
Kesi za kondoo zikipelekwa kwa fisi basi ushindi ni kwa fisi siku zote.
 
Mwambukusi umeingizwa chaka na wanasiasa uchwara. Matokeo yake kazi hauna, na ukikimbilia kwenye siasa ili upate ubunge wa bure pia utaangukia pua.

Nakushauri utumie vizuri hela ulizopewa na wakwepa kodi wa bandari, ili usije kuwa omba omba kama makamu mwenyekiti wa chama fulani.
 
Angekuwa anataka hela angekubali hongo ya 100 million ya Dr. T.
 
c&p

1. In Tanzania Judicial independence is not absolute, meaning other state organs still interfere with the Judiciary Organ, translating that separation of power is not absolute. For instance the legislature is still the only organ which makes, amends and delegates power to the other organs including judiciary to make laws.

2. The president has been given power to appoint the Chief Justice and other justices of the Court of Appeal after the consultation with the Chief Justice .

3. Lastly the director of Public Prosecution is appointed by the president, who plays great role in criminal cases.

MY TAKE:KESHO HAMNA KITU NI USANII. HAKUNA JUDGE MWENYE COURAGE/GUTS YA KUTENDA HAKI..SHYSTER JUDGES AS OPPOSED TO BOLD JUDGES...............keep this comment for tomorrow
Then uhalalishwaji wa hukumu utayasikia kwenye hotuba ya J4 ....
 
Hukumu ya kesho itakuwa kama ifuatavyo (natabiri):-
1. Waliofungua kesi hawana locus.
2. Mahakama kuu ya Mbeya haina uwezo wa kusikiliza shauri hili.
3. Shauri hili linakiuka katiba kwa kuwa linahoji kazi iliyofanywa na mhesh rais kwa lengo la kumtia hatiani kitu ambacho kimeharamishwa na katiba.
.
Hivyo shauri hili litatupiliwa mbali.
 
Hukumu ya kesho itakuwa kama ifuatavyo (natabiti):-
1. Waliofungua kesi hawana locus.
2. Mahakama kuu ya Mbeya haina uwezo wa kusikiliza shauri hili.
3. Shauri hili linakiuka katiba kwa kuwa linahoji kazi iliyofanywa na mhesh rais kwa lengo la kumtia hatiani kitu ambacho kimeharamishwa na katiba.
.
Hivyo shauri hili litatupiliwa mbali.
Hukumu from Shyster judges...Majaji wa UPE
 
Kama hao anaowatetea wamempa million 120 au 130, unategemea angepokea hizo unazosema wewe?
Unafikiri yeye mjinga au hajui zipi ni nyingi?
SI mlisema TICTS wanatoa pesa. Sasa Karamagi kasema yuko upande wenu na Mwarabu wenu.
 
c&p

1. In Tanzania Judicial independence is not absolute, meaning other state organs still interfere with the Judiciary Organ, translating that separation of power is not absolute. For instance the legislature is still the only organ which makes, amends and delegates power to the other organs including judiciary to make laws.

2. The president has been given power to appoint the Chief Justice and other justices of the Court of Appeal after the consultation with the Chief Justice .

3. Lastly the director of Public Prosecution is appointed by the president, who plays great role in criminal cases.

MY TAKE:KESHO HAMNA KITU NI USANII. HAKUNA JUDGE MWENYE COURAGE/GUTS YA KUTENDA HAKI..SHYSTER JUDGES AS OPPOSED TO BOLD JUDGES...............keep this comment for tomorrow
Kwamba RA alikuwa sahihi?
 
Asalam.
Mwalimu JKN alisafiri kwenda UN kudai Uhuru. Akaupata. Wakili Mwambukusi na Wengine High Court Mbeya kudai Territorial Sovereignty Ya Tanzania. Mwambukusi anadai kitu muhimu katika maslahi ya Taifa na Dola yetu, ULINZI WA MIPAKA na UHURU WA MAAMUZI YETU. Je tutafanikiwa ? Nini utabiri wako
HAKI imeshinda, muda usikutatize.
 
Back
Top Bottom