Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 505
- 887
Vijana wametakiwa kuitunza amani ya taifa na kufuata siasa safi isiyokuwa na matusi ikiwa ni njia ya kumuenzi hayati baba wa taifa Mwalimu Julias Nyerere.
Watekaji, wezi wa kura na wauaji huwaoni? Chawa wa hovyo msio na akili mnaharibu nchi na vizazi vyenu vijavyo, wapuuzi sana nyieVijana wametakiwa kuitunza amani ya taifa na kufuata siasa safi isiyokuwa na matusi ikiwa ni njia ya kumuenzi hayati baba wa taifa Mwalimu Julias Nyerere.