Duuh!
You're welcome mkuu, unaweza kutupatia mawili matatu kuhusiana na August 1977 in Nashville?Duuh!
jmushi!, thanks for this link of Washington Afro american. Nilikuwepo Nashville hiyo August 1977.
Video inajieleza...
"Smith is a Criminal" was the message, hiyo ilikuwa Tanganyika...
Sasa tuna a Banana Republic...
DIPLOMACY SUSPENDED - British Pathe
And then baada ya hapo alisikilizwa...Hiyo wakaita politics in ACTION...Myonge myongeni haki yake mpeni, mwalimu was unique kwenye diplomacy na kwa msimamo ndo mwenyewe...He was heading Afican struggles kiana, he was front...
POLITICS IN ACTION - British Pathe
EAST CENTRAL AFRICA SUMMIT MEETING - British Pathe
Unataka tu-suspend uhusiano na nani ili kukuthibitishia kwamba hii siyo banana republic and what would be the reason for doing so? You sound educated but not learned!