Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,948 Reaction score 13,378 Mar 9, 2011 #1 Mwanafunzi mmoja alikuwa analia baada ya kuporwa kalamu na mwenziwe ndipo mwl akawa anamsihi yule mtoto asilie. MWALIMU:usilie sana utakuja kuwa mbaya ukubwani .MWANAFUNZI:Bac inaonesha mwalimu ulikuwa unalia sana wakati ukiwa mdogo
Mwanafunzi mmoja alikuwa analia baada ya kuporwa kalamu na mwenziwe ndipo mwl akawa anamsihi yule mtoto asilie. MWALIMU:usilie sana utakuja kuwa mbaya ukubwani .MWANAFUNZI:Bac inaonesha mwalimu ulikuwa unalia sana wakati ukiwa mdogo
mafiakisiwani JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 833 Reaction score 618 Mar 9, 2011 #2 hahahahahahaaa dah! Inawezekana huyo denti alikula mikwaju mpaka basi
Mshume Kiyate JF-Expert Member Joined Feb 27, 2011 Posts 6,764 Reaction score 903 Mar 10, 2011 #4 mwalimu sura jiwe.,hahaha