Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,711
- 8,764
Acha uongo ni ya CCM.Ujue walimu wa Tz sijui wamerogwa
TBC ni Chanel ya serikali haina jipya habari zote ni za kumpamba Magufuli na Bashite wake sasa unapozidi kuiangalia unapoteza uwezo wako wa Kufundisha yaliyo mema mwisho unafundisha ujinga tu kama CCM wanavyopenda
Kuna ticha jirani yangu hapa ghetto ka chizi yani kutwa kuangalia TBC akiendelea naenda kung'oa lile dish lake LA Azam[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Mkuu nlijisahau nime-edit tayari ni Chanel ya CCMAcha uongo ni ya CCM.
Kula like mkuuMkuu nlijisahau nime-edit tayari ni Chanel ya CCM
Hahahahahah Mkuu hujajua kaishiwa kifurushi kama una mazoea nae tumia mbinu za kijasusi muulize kama ukikuta ana kifurushi rudi hapa nikupe ushauriUjue walimu wa Tz sijui wamerogwa
Walimu wa Tz ndo wanatumika kuibeba CCM kipindi cha uchaguzi mwisho wa siku wanatupwa kama makapi ,mshahara wanaongezewa elfu 6 kweli walimu mnanyanyasika sana
Mwalimu unaacha kuangalia chaneli zingine za TV upanue mawazo yako na ujue jinsi ya kudai haki yako wewe kutwa kucha unaangalia TBC
TBC ni Chanel ya CCM haina jipya habari zote ni za kumpamba Magufuli na Bashite wake sasa unapozidi kuiangalia unapoteza uwezo wako wa Kufundisha yaliyo mema mwisho unafundisha ujinga tu kama CCM wanavyopenda
Kuna ticha jirani yangu hapa ghetto ka chizi yani kutwa kuangalia TBC akiendelea naenda kung'oa lile dish lake LA Azam[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Nawewe kula like mkuuKula like mkuu
Well notedNawewe kula like mkuu
Wakati mwingine anakuwa hana namna ya kuangalia channel zingine manake inabidi alipie. TBC ni free Chanel. Labda kwa kumsaidia na uache kumsimanga mnunulie kifurushi !Ujue walimu wa Tz sijui wamerogwa