dharau toka kwa walimu wenyeji,lakini kwa kua nilishafanya kazi private school kwa miaka minne na nikiwa second master kwa miaka miwili ilinilazimu nitoe "CV" yangu ofisini,toka hapo heshima juu!
Tunagombania viti na wanafunzi vya kukalia ofisini, msosi wa walimu unaletwa tunajisevia katika karatasi kama ndio vyombo, pia kuna madai mkuu ana watu wake special kila mwaka ndio anawapa hao hao kazi maalumu kama kusimamia mitihani ya taifa, na mengine mengi tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.