af ye atakua anakuangalia tu?
Ndiyo maana tunazalisha nguvu kazi ya kukomoana na si ya kusaidiana. Ikiwa mpaka leo mashuleni Waalim bado wanachapa na si kufundissha. Unategemea nini huyo akija kuwa bosi wa kampuni?
Na akiona watu wote wa miraba minne tumefika pale
ni lazima aombe upenyo kwenye sakafu atumbukie.
wewe kweli unaweza haya yote wala sina shakaSister usiombe kuniona mimi napiga mtu!
Manake kila kitu ni ruksa!
Kuanzia mikono, mawe, masala mpaka risasi!
Labda nife! Lkn kila nikiinuka vita inaanza upya!
Yaani ni balaa!
dah! kapicha kako kanaruka ma flying kick.Nilikuwa sijajua kama mwanafunzi kuchapwa fimbo zaidi ya kumi ni assistance. Ahsante mkuu!
we ndo mwalimu sasa unaingia darasani unakuta kuna hewa nzito unauliza 'mbona kuna harufu humu ndani' afu ka mwanafunzi bakibencha huko kanajibu 'hata si tumesikia baada ya we kuingia' unafanyaje hapo.
Loooh, umefufua wapi hii kitu;
yule mwalimu alimchapa sana binti yangu
kwa upande alisaidia makuzi ila kwa upande aliniumiza.
Wazazi wa .com mnawalemaza sana watoto ndo maana serikali inahangaika kubadili alama za ufaulu, we endelea kumwona huruma akipata Div. IV ya point 45 usije kulalamika hapa
we ndo mwalimu sasa unaingia darasani unakuta kuna hewa nzito unauliza 'mbona kuna harufu humu ndani' afu ka mwanafunzi bakibencha huko kanajibu 'hata si tumesikia baada ya we kuingia' unafanyaje hapo.
mkuu hiyo si four aisee,, hiyo ni zero ati!
goodmorning!
s1930/0102 | m | 41 | iv | civ - 'e' hist - 'e' geo - 'e' kisw - 'c' engl - 'e' chem - 'f' bio - 'e' b/math - 'f' |
s1930/0112 | m | 41 | iv | civ - 'e' hist - 'f' geo - 'e' kisw - 'c' engl - 'd' bio - 'e' b/math - 'f' |
s1930/0058 | m | 41 | 0 | civ - 'e' hist - 'e' geo - 'e' kisw - 'd' engl - 'e' phy - 'e' chem - 'e' bio - 'e' b/math - 'e' |
s1930/0101 | m | 45 | 0 | civ - 'e' hist - 'f' geo - 'f' kisw - 'd' engl - 'f' bio - 'e' b/math - 'f' |
s1930/0084 | m | 45 | 0 | civ - 'e' hist - 'f' geo - 'f' kisw - 'd' engl - 'f' bio - 'e' b/math - 'f' |
s1930/0057 | m | 45 | iv | civ - 'f' hist - 'f' geo - 'f' kisw - 'c' engl - 'e' bio - 'f' b/math - 'f' |
s1930/0045 | f | 45 | iv | civ - 'e' hist - 'f' geo - 'f' kisw - 'c' engl - 'f' bio - 'f' b/math - 'f' |
s1930/0008 | f | 45 | iv | civ - 'f' hist - 'f' geo - 'f' kisw - 'c' engl - 'e' bio - 'f' b/math - 'f' |
s1930/0009 | f | 45 | 0 | civ - 'e' hist - 'f' geo - 'f' kisw - 'd' engl - 'e' bio - 'f' b/math - 'f' |
duh! kazi ingenishinda, hapomkuu shule za serikali ni zaidi ya uzijuavyo... kuna mengi zaidi ya hayo!
mi shule niliyosoma, kuna wanafunzi aisee walikuwa wanadiriki hata kulana mate wakati mwalimu akifundisha! mwalimu akiwapa tu mgongo.. wanafanya yao! sijui wale watoto walikuwa na majini?
actually, madarasa ya arts mara nyingi yana wanafunzi wenye extreme behaviours... anakuja shule saa mbili, anaondoka saa tano asubuhi! unadhani division ziro ya 49 itakwepeka hapo?
duh! kazi ingenishinda, hapo