Mwalimu mkuu awavunjia simu wanafunzi

Huu ni uonevu. Angeweza kuzichukua Na kuzihifadhi kisha shule zikifungwa anawarudishia..
 
Hawa ndio waalimu tunaowahitaji wakati huu!! Discipline must be enforced.
 
Safi sana mwalimu wanafunzi wa dijitali ni shida sana yakifeli walimu mnageuziwa kibao hamfundishi kumbe walikuwa wanachati tu
 
Dawa ya Mwalim mnoko kama huyo ni kumvizia mtaani na kumtandika.
 
Kuna mzazi mmoja alipata presha baada ya mwanae kufukuzwa shule zikiwa bado week mbili kufanya mtihani wa kidato cha nne, kisa simu. Simu kwa mwanafunzi ya nini?
 
Angewaita wazazi waje washuhudie na ikiwezekana kola mzazi aondoke na mtoto wake
 
Kasahau ya mwanafunzi mmoja aliyepiga hiyo picha!! But namuunga mkono Mkuu wa shule. Wakifeli yeye ndio wakwanza kulaumiwa.....!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…