MWALIMU Mh...................!.

MWALIMU Mh...................!.

KUNGURUHAFUGIKI

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
346
Reaction score
74
Ama kweli UALIMU KAZI YA Wito MWANAFUNZI mmoja hajui kujumulisha wala kutoa mwalimu katumia njia zote kumuelimisha lakini wapi ikabidi ajaribu njia hii
MWALIMU; kwenu mnafuga nini?
MWANAFUNZI; kuku na mbuzi
MWALIMU; mbuzi mnao wangapi?
MWANAFUNZI; wako 25
MWALIMU; mbuzi 25 toa mbuzi 5 watabaki wangapi?
MWANAFUNZI; unawajua mbuzi wetu au unawasikia ukimtoa mmoja tu wote wanatoka
MWALIMU; mh.................!
 
Haaa! Huyo dogo zuzu nn?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hapa unapiga makonzi ya kisogoni tu hadi kaubongo kalikoganda kayeyuke.
 
hahahahaaha........umetisha dogo..........hahahaha
 
Back
Top Bottom