Mapondo Mapoka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 274
- 135
Wakuu, eti mwalimu japo anazingatia silabasi je ni sahihi sana kuandaa notice kupitia internet bila kutumia kitabu cha somo husika?
Notes ni notes tu, mimi binafsi huwa nnapakua notes kutoka net, usumbufu nnaoupata ni kurearrange notes ili ziendane na syllabus tu.
Naomba nisaidie source ya kupakua notes za history
Naomba nisaidie source ya kupakua notes za history
Mmmmmmh majanga