Namsikiliza hapa kwenye uchambuzi wa Simba v Kagera ... katumia neno “improvisation”[emoji23][emoji23] kuelezea movement na kitendo alichofanya Kichuya kipindi hiki cha pili. Nachotaka kujua huyu jamaa ni kabila gani? Nahisi ni bojo huyu bwana na CV yake kwenye kabumbu ipoje ?