Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,554
- 2,160
Ingekuwa ni bila bold hiyo, ningesema huenda una mapenzi yaliyozidi kwa watoto!Mwalimu huyu wa St.Cornelius aitwaye Gordian Bwemelo,ana matatizo gani? Kwanini anaonea watoto wetu namna hii yaaani anaudhi sana...anawapiga watoto wa wetu wa kike bila sababu... Kuna kipindi alishawahi kupigwa sana na mdada mmoja aliyebatizwa jina la "John Cenna" kisa akutaka binti yake aende kutibiwa...
Ulishafuatilia ukajua kwamba anawapiga bila sababu? Walimu tuna kazi kweli siku hizi. Hii mitoto tukiiacha inatudharau darasani, inakuwa mijinga, halafu wazazi mnatujia juu tena kwamba tumeshindwa malezi. Tukijaribu kuwarekebisha ili warudi kwenye mstari na penyewe mnatujia juu eti kwanini tunawapiga watoto wenu. Tukigeukia serikali japo ituboreshee hali zetu za kazi kwa sababu tunatumia muda wa ziada kuwarekebisha watoto wajinga, serikali inatujibu kwa kejeli. Kinachofuata tutakuwa tunaingia darasani kupiga story na watoto, hatufundishi wala nini ili japo wafeli tu tuone hii jeuri yenu ya kutulalamikia kila kunapokucha inaishia wapi?
Hebu waacheni walimu wafanye kazi zao kwa uhuru. Watu kama ninyi ndo mnaosababisha vibaka, majambazi na vyangudoa wanaongezeka mijini. Maana mnaingilia kazi za walimu ambao ndiyo wenye jukumu la kujenga na kulinda maadili ya watoto.
Hebu waacheni walimu wafanye kazi zao kwa uhuru. Watu kama ninyi ndo mnaosababisha vibaka, majambazi na vyangudoa wanaongezeka mijini. Maana mnaingilia kazi za walimu ambao ndiyo wenye jukumu la kujenga na kulinda maadili ya watoto.
Mwalimu huyu wa St.Cornelius aitwaye Baba G,ana matatizo gani? Kwanini anaonea watoto wetu namna hii yaaani anaudhi sana...anawapiga watoto wa wetu wa kike bila sababu... Kuna kipindi alishawahi kupigwa sana na mdada mmoja aliyebatizwa jina la "John Cenna" kisa akutaka binti yake aende kutibiwa...
Kuwaadhibu watoto kwa vipigo huchangia sana kudumaza watoto na kushusha viwango vya elimu. Upendo na adhabu mbadala vitafaa zaidi.
P upo juu... Wanadhani sisi tunachimba hela jamani... Jangwani,Zanaki etc kina Lukolo fanyeni hivyo...
isije kuwa anatabia za wale maafande wa jkt wakitaka mtu/mtoto adhabu na vitisho kwa saana? by the way sheria ya kumwadhibu mtoto shuleni ina semaje? hususana mto wa kike vs mwl wa kiume?
Watanzania tumezoea kulalamika kwa saaaana lakini hatutaki kuchukua hatua...Hili sio tatizo la kuleta hapa... Unachotakiwa kufuatilia huko shulenii.Sio kwa kuwatukana na kuwakanyaga SHINGO!!... Halafu Lukolo tunalipa mimilion ya kufa mtu... Lukolo ndo maana shule inakosa maadili... Kwann cio Canossa wala Green Acres?
Watanzania tumezoea kulalamika kwa saaaana lakini hatutaki kuchukua hatua...Hili sio tatizo la kuleta hapa... Unachotakiwa kufuatilia huko shulenii.