Wataalamu wa lugha ya Kiswahili njoon huku mtujuze kuhusu hiyo ISTILAHI "KIFYONZEO" maana mie nimebaki kizani [emoji1] [emoji1] [emoji28] [emoji28] [emoji3] [emoji3]
View attachment 484081Wataalamu wa lugha ya Kiswahili njoon huku mtujuze kuhusu hiyo ISTILAHI "KIFYONZEO" maana mie nimebaki kizani [emoji1] [emoji1] [emoji28] [emoji28] [emoji3] [emoji3]
View attachment 484081Wataalamu wa lugha ya Kiswahili njoon huku mtujuze kuhusu hiyo ISTILAHI "KIFYONZEO" maana mie nimebaki kizani [emoji1] [emoji1] [emoji28] [emoji28] [emoji3] [emoji3]
Kifyonzeo imetokana na kitendo fyonza.. Ikiwa na maana ya kuchukua kitu (kimiminika) kwa kutumia kifaa flani mithili ya mrija.[emoji3] [emoji3] [emoji3]