Mwalimu Ezekia Oluochi umewageika wanao kulipa?

NJALI

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
1,534
Reaction score
1,091
Mimi ni Mwalimu, Idara ya sekondari, tangu sijaajiriwa nilikuwa sijaona lolote la maana wanalofanya CHAMA Cha Walimu.

Hawa watu licha ya kujitarisha kupitia michango yetu kwa kukata Agency Fee 2% ya basic salary.Sasa wamelewa na hiyo pesa hadi wamesahau ni nani amewaajiri Vigogo Hawa WA CWT.

kuna mambo Walimu hawatendewi haki na mwajiri wao lakini Vigogo Hawa WA CWT hawatoi matamko, Mfano:

1.Kwa mjibu WA mkataba WA Walimu WA Serikali, Kila Mwezi WA saba kutakuwa NA Annual Salary Increment, cha kushangaza haki Hii imeporwa na kuzimwa, CHAMA cha Walimu hawajatoa tamko kuhusu lini Walimu wataongezewa

2.Walimu kulazimishwa kukesha kwenye Mwenge na Mwaajiri Sengerema, sikuona Oluoch akitoa tamko wala Mikoba.

3.Walimu wa kawaida kutokupewa posho ya mazingira Magumu Badala yake Wakuu WA SHULE ndio wamepewa Japo sijathibitisha hilo kwa macho, niite tetesi.

Jana nilimtazama Bwana Ezekia Oluoch akipongeza Walimu Wakuu waliozidisha wanafunzi wawajibishwe, akiongea kwa uchungu huku povu likimtoka alikazia kuisapoti Serikali kwa hilo.

Sasa Oluoch mbona hayo mambo matatu Hapo juu hujayazungumzia ilihali sisi Walimu ndio waajiri wako?Au alieshiba hamjali mwenye NJAA?
 
Kweli Walimu uchaguzi ukifika tuchague MTU atakae tanguliza maslahi ya Walimu mbele na ya TUMBO LAKE nyuma. Walimu tunadharirika sana NCHI Hii, waende Kenya wakajifunze wenzao wanafanyaje? Pesa tunawalipa CWT kubwa sana, wasafiri waje na jipya
 
Mimi ni Mwalimu, Idara ya sekondari, tangu sijaajiriwa nilikuwa sijaona lolote la maana wanalofanya CHAMA Cha Walimu.

Hawa watu licha ya kujitarisha kupitia michango yetu kwa kukata Agency Fee 2% ya basic salary.Sasa wamelewa na hiyo pesa hadi wamesahau ni nani amewaajiri Vigogo Hawa WA CWT.

kuna mambo Walimu hawatendewi haki na mwajiri wao lakini Vigogo Hawa WA CWT hawatoi matamko, Mfano:

1.Kwa mjibu WA mkataba WA Walimu WA Serikali, Kila Mwezi WA saba kutakuwa NA Annual Salary Increment, cha kushangaza haki Hii imeporwa na kuzimwa, CHAMA cha Walimu hawajatoa tamko kuhusu lini Walimu wataongezewa

2.Walimu kulazimishwa kukesha kwenye Mwenge na Mwaajiri Sengerema, sikuona Oluoch akitoa tamko wala Mikoba.

3.Walimu wa kawaida kutokupewa posho ya mazingira Magumu Badala yake Wakuu WA SHULE ndio wamepewa Japo sijathibitisha hilo kwa macho, niite tetesi.

Jana nilimtazama Bwana Ezekia Oluoch akipongeza Walimu Wakuu waliozidisha wanafunzi wawajibishwe, akiongea kwa uchungu huku povu likimtoka alikazia kuisapoti Serikali kwa hilo.

Sasa Oluoch mbona hayo mambo matatu Hapo juu hujayazungumzia ilihali sisi Walimu ndio waajiri wako?Au alieshiba hamjali mwenye NJAA?
Wewe unataka aige tabia za CHADEMA kutetea majizi?
 
Hata mimi nilimshangaa sana tena anapendekeza waongezewe na adhabu.Hivi alijaribu hata kuwasikiliza hao walimu?Inawezekana wote wakawa na makosa?Yeye kama mtetezi ambae naamini hapaswi kutetea wezi alijaribu hata kupata taarifa za upande wa pili?
 
Zama hizi hakuna hata mmoja atakayeruhusiwa kukosoa katika Taasisi za kutetea wafanyakazi na atakayefanya hivyo atakuwa Jipu..Je wewe wataka umfanye Ulochi na Mkoba wawe majipu? Lazima waendelee kupiga shangwe na vigelegele..hapa kazi tuu..kama hutaki kazi acha wapo kibao wanasubiria ajira hizo..
 
CWT ni genge la kula pesa za Walimu, juzi walikua mstari wa mbele kuwatuhumu Walimu wa Arusha bila hata kujua yaliyowapata, inauma sana pale mtetezi wako anapoungana na Adui yako! Inauma sana CWT wanakula pesa nyingi sana za Walimu huku wakiendelea kunyanyaswa na kuchezewa na kila mpuuzi. Hivi huu ujinga Kweli unaweza kufanyiwa PSPTB, TLS, au CRB au Bodi ya Wahasibu? Why CWT? Why?
 
Mimi ni Mwalimu, Idara ya sekondari, tangu sijaajiriwa nilikuwa sijaona lolote la maana wanalofanya CHAMA Cha Walimu.

Hawa watu licha ya kujitarisha kupitia michango yetu kwa kukata Agency Fee 2% ya basic salary.Sasa wamelewa na hiyo pesa hadi wamesahau ni nani amewaajiri Vigogo Hawa WA CWT.

kuna mambo Walimu hawatendewi haki na mwajiri wao lakini Vigogo Hawa WA CWT hawatoi matamko, Mfano:

1.Kwa mjibu WA mkataba WA Walimu WA Serikali, Kila Mwezi WA saba kutakuwa NA Annual Salary Increment, cha kushangaza haki Hii imeporwa na kuzimwa, CHAMA cha Walimu hawajatoa tamko kuhusu lini Walimu wataongezewa

2.Walimu kulazimishwa kukesha kwenye Mwenge na Mwaajiri Sengerema, sikuona Oluoch akitoa tamko wala Mikoba.

3.Walimu wa kawaida kutokupewa posho ya mazingira Magumu Badala yake Wakuu WA SHULE ndio wamepewa Japo sijathibitisha hilo kwa macho, niite tetesi.

Jana nilimtazama Bwana Ezekia Oluoch akipongeza Walimu Wakuu waliozidisha wanafunzi wawajibishwe, akiongea kwa uchungu huku povu likimtoka alikazia kuisapoti Serikali kwa hilo.

Sasa Oluoch mbona hayo mambo matatu Hapo juu hujayazungumzia ilihali sisi Walimu ndio waajiri wako?Au alieshiba hamjali mwenye NJAA?
CHAMA CHA MATAPELI HUIKIJUA

NJO TABOA TUPIGE DEBE
 
Kwa uzoefu na muonjo ndani ya bunge la katiba sasa anapalilia fursa akumbukwe hata viti maalumu. Walimu waisome namba tu !
 
Walimu mnalalamika nyie tu kila siku... Wakati wenzenu wanasoma nyie mlikuwa wapi
Ki.la.za mbobezi.nani kakwambia walimu hawakusoma.?.......we unajua ulichoandika au umekariri maneno ya mtaani?
 
Kila ukoo unapigania kuwa watawala wakuu katka Himaya hii ya wanyonge iliyo tawaliwa na unyonge,woga,umbea,kujipendekeza, nazingine mwaweza kuongeza hizi pia ndio zimeonekana kuwa vigezo vya watu kupata madaraka katika Himaya hii. Elimu imetupiliwa mbali we tafuta sifa hizo lazima utakuwa boss katika nchi hii.
 
Kosa lililofanyika ni kuitwa chama lakini ingeitwa bodi kama zilivyo bodi zingine hill lisingekuwa tatizo. Uluoch na mwenyekiti wake ni viongozi wa genge LA wahuni na wachumia tumbo pale CWT, ni watu ambao wanaaimamia maslahi yao zaidi kuliko maslahi ya chama. Kuna issue aliraise machali ya kuvunjwa kwa chama hiki lakini wakamtumia mama kabaka kuivunja hoja hiyo tena kwa kebehi kubwa akipata back up kwa mama sita kwakuwa wote hawa walipata nafasi zao kupitia chama cha walimu. Wanashindwa kufanya maamuzi kama viongozi wa chama wanafanya kazi kwa kuangalia serikali inataka nini. Chama cha walimu inafikia kipindi kinagharamia kampeni za kisiasa hatuwezi kusema kwamba ni chama cha wafanyakazi. Naona sasa anataka kupigana ili Nate atoke kwani hata PM naye katokea chama cha walimu kufikia ngazi hiyo ya kisiasa. CWT inaongozwa na wahuni na haina budi kuvunjwa na chama kingine kiundwe ambacho kitasimamia maslahi ya wanachama wao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom