ABDUL JIRANI
Senior Member
- Jul 20, 2013
- 176
- 52
Wadau hili nalileta kwa mara ya pili kwa sababu nilishatoa mada hivi karibuni,
Ni hivi kuna mwalimu kamnyonga mwanae kisha na yeye mwenyewe akajimaliza kwa kujinyonga pia.
Kisa ni binti mmoja ambaye alikuwa ni mpenzi wake tangu nasoma jamaa ni mwalimu alianza kuishi na binti huo kipindi yupo kidato cha kwanza akampa mimba akahangaika wakaitoa.
Lakini wazazi yule binti walishamsusia kwa kila kitu kwahyo jamaa kahangaika mpaka amemaliza kidato 4 akafeli akampa mimba na kufanikiwa kupata mtoto wa kiume baada ya mtoto kujitambua kidogo binti akadai anataka kurudia mtihani akarudi na kufadikiwa kupata vikredi. Baada ya hapo jamaa akahangaika kumtafutia kazi akapata kwenda upolisi.
Binti baada ya kwenda huko akachukua mafunzo yake na kuajiliwa kabisa. Baadaye anarudi nyumbani anasema hamtaki kisa amempata polisi mwenzie. Kwa hyo kutokana na mawazo ya jinsi alivyohangaika juu yake ndio zikamjia stress akamnyonga mtoto then na mwenyewe akajimalizia.
WANAWAKE MUWE NA MOYO WA HURUMA MNAPOSAIDIWA