Mwalimu aliyesoea masomo ya DINI kuajiriwa serikalini ni sawa?

Andrew123

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
8,281
10,794
Nauliza tu mwl. aliyesomea masomo ya dini ni sawa kuajiriwa SERIKALINI. Naambatanisha ajira za TAMISEMI 2015.
 

Attachments

  • TAMISEMI2015.pdf
    2.5 MB · Views: 618
Hivi wewe kima unaona watumishi wengi wa umma walivyokosa maadili? Sasa wasipofunzwa dini hao wanafunzi unategemea taifa litakuwaje huko mbeleni?
 
Back
Top Bottom