Mwalim wa hesabu

RECYCLER

Senior Member
Joined
Jan 14, 2012
Posts
104
Reaction score
10
Mwalimu alimuuliza swali mwanafunzi; Nikikupa maandazi 4 ukitoa matatu yanabaki mangapi?
Mwanafunzi akajibu: Ukiniongezea na chai hapo mwalim halibaki hata moja.
 
Dah?
Huyo dogo anafikiria kwa upana, akipewa inji maendeleo yatapatikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…