Sasa kinachosababisha wapigane ngwala ni kitu gani ? Halafu kuna wakati kikwete alisema wanaccm hawaaminiani kiasi cha kushindwa kuachiana maji mezani , unakumbuka ?Bahati nzuri ni kwamba wote uliowataja ni wana CCM
Umeelewa somo ?Haina shida hawa viongozi huwa wana hekima sana