Mwaliko wa sikukuu ya mwaka mpya.

Mwaliko wa sikukuu ya mwaka mpya.

jelenga

Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
66
Reaction score
37
Kwa heshima kubwa, napenda kuwaalika wana JF, kuja kusherehekea sikukuu ya mwaka mpya pamoja na mimi. Jinsi ya kufika kwangu rahisi sana, panda gari la Mbagala,shuka rangi 3,halafu panda magari ya Mbande mpaka Majimatitu,ukifika hapo sasa panda vigari vya kwenda Chasimba,shuka kwa Madobe,pale chukua tax mwambie akulete kwa Baba Chididi,Kisha chukua bodaboda mpaka uwanja wa Ganja,ukifika uwanjani,kodi baiskeli mpaka kwa mganga dk Kundambanda,angalia mbele Kuna msikiti pita kichochoro,mbele utakuta kibao cha shule ya Nzasa,hapo sasa nyuma ya shule tu, ndiyo kwangu,ulizia kwa Jelenga. Karibuni sana ndugu zangu tufurahie mwaka mpya kwa pamoja.
 
Hiyo nauli ni bora niandae sherehe ya familia ya kuukalibisha mwaka.
 
Back
Top Bottom