Tulipo si pazuri sana, tunahitaji ukombozi wa kweli wa Nchi hii. Ili kufanikisha ukombozi huo, naomba kumwalika kila kila Mtanzania kwa nafasi yake afanye kila linalowezekana kufanikisha ukombozi huu.
Wewe kama ni Askari, mwanasheria, Daktari, Mwalimu, mkulima, Kiongozi wa Dini, Kiongozi wa kisiasa au Kiongozi wa ngazi yoyote ile hapa Nchini, toa SADAKA yako kwa kusaidia kuikomboa Nchi hii. Mchango wako ni muhimu sana tena sana.
Mimi naamini kila Mtanzania kwa nafasi alioyo nayo anaweza kulisaidia Taifa hili kupata ukombozi wa kweli.
Unaweza kutoa mchango wako wa kuikomboa Nchi hii popote pale ulipo, iwe HADHARANI au kwa SIRI.
Mungu atusaidie sana katika hili.
Ahsante.